Tampro

Tampro Walkathon 2025

Tampro Walkathon 2025 ni matembezi maalum yenye umbali wa kilomita 5 yatakayofanyika tarehe 22 Juni 2025. Tukio hili litawahusisha watoto na watu wazima, likiwa na lengo la kuhamasisha afya bora, mshikamano wa kijamii na kukuza vipaji vya michezo kwa vijana.
Matembezi haya yanasimamiwa na kuendeshwa kikamilifu na Tampro, shirika linalojitolea likiwa na lengo la kuhamasisha afya bora, mshikamano wa kijamii na kukuza vipaji vya michezo kwa vijana. Kiingilio kwa kila mtu mzima ni Tsh 40,000 wakati kwa watoto ni Tsh 20,000. Ada hii inahakikisha usalama, huduma muhimu, pamoja na zawadi kwa washiriki watakaoibuka kidedea.
Kwa maelezo zaidi, michango na usajili, tembelea kurasa rasmi za Tampro au wasiliana nasi kupitia njia rasmi zilizotolewa.Tampro team

d 13h 54m 39s

Chagua ticket

#

price: 40,000/=

#

price: 20,000/=

About Us

#

Shoot Up Endurance with walking

Tampro Walkathon 2025 si tu matembezi, bali ni fursa ya familia kushiriki pamoja katika tukio la kujenga afya, furaha na maadili ya mshikamano. Washiriki wanahimizwa kujiandaa mapema na kujisajili kwa wakati ili kuwa sehemu ya tukio hili la kihistoria.

Usikose kuwa sehemu ya historia, Jisajili mapema.

"Matembezi kwa Afya, Saidia jamii!"

Jiunge na Tampro Walkathon 2025 tarehe 22 Juni! matembezi na familia yako kilomita 5 kwa afya, furaha na mshikamano. Zawadi, burudani na uzoefu wa kipekee vinakusubiri. Usikose! Jisajili leo. matembezi kwa Afya, Saidia jamii!

#